Accounts
Akaunti "DCB Mstaafu Savings"
Walengwa
Msaafu Akaunti humwezesha Mteja anayepanga kustaafu katika miaka 3 ijayo au mwenye miaka kuanzia 50 kwenda juu ambao bado yuko kwenye ajira kujiwekea fedha na pension ya kustaafu.
Sifa za Mstaafu Akaunti
Kiasi cha chini cha kuendesha Akaunti ni Tshs 20,000/-
Kiasi cha chini cha kuweka kwenye Akaunti kila mwezi ni 10,000/-
Hakuna gharama za kutoa fedha kwenye kaunta ya benki
Namba ya Mstaafu au nakala ya Kitambulisho cha Mpiga Kura, Leseni ya Udereva, Pasipoti au Utaifa
Akaunti inaunganishwa na DCB Pesa
Kadi ya ATM bure
Faida
Gharama za uendeshaji wa Akaunti ni bure
Kupata Kitambulisho cha Akaunti/Kadi ya Akaunti itakaokuwezesha kufanya Miamala
Riba ya faida inakokotolewa kuanzia salio la Tshs. 100,000/- katika Akaunti ya Mteja
Fursa za kupata mikopo kupitia DCB Mikopo