Accounts
AKAUNTI "Kibubu Kidijitali"
Pata mkopo papo hapo kwa kutumia amana ulizowekeza na DCB DIGITAL (FDR na KIBUBU) hadiasilimia 80% ya akiba ya amana zako. Huna haja ya kuhangaika na mikopo ya sehemu nyingine wekeza Zaidi upate mkopo mkubwa Zaidi.
Faida
Mkopo huu ni kwa wateja waliofungua akaunti na kuweka amana zao kupitia akaunti ya Digital FDR na Kibubu Digital.
Pata mkopo wa hadi asilimia 80% ya akiba ya amana zako.
Rejesho la mkopo ni ndani ya siku 30
Mkopo unapatikana kwa masaa 24, papo hapo pindi unapo uhitaji
Mkopo utaingiziwa kwenye akaunti yako ya digital
Toa pesa kwa kutumia akaunti ya DCB Digital, ATM Zaidi ya 250 za umoja switch zilizoenea nchi nzima (cardless ATM), DCB wakala, Mpesa, Tigo Pesa, Airtel money